99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waandishi wa habari wa China na wa kigeni wajionea?hali?ya mvuto wa soko la usiku mjini?Shenzhen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2024
Waandishi wa habari wa China na wa kigeni wajionea?hali?ya mvuto wa soko la usiku mjini?Shenzhen
Picha ya muonekano wa angani wa Bandari ya Yantian iliyopigwa kutoka Soko la Usiku la Yan'gang mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (People's Daily Online/Zhang Lulu)

Shenzhen, mji wa pwani wenye ustawi ulioko Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, umepiga hatua kubwa katika kuendeleza uchumi wake wa usiku katika miaka ya hivi karibuni, huku Soko la Usiku la Yan'gang likiibuka kuwa kivutio kikuu.

Soko hilo hupata hali ya uhai wakati usiku unapoingia. Kitovu hiki chenye shughuli nyingi za biashara kimekuwa kivutio kwa vijana, kikitoa vitafunio vya aina mbalimbali vinavyovutia ladha za watalii.

Soko hilo la usiku hutoa hali jumuishi ya burudani mbalimbali ambayo huchanganya vyakula vitamu, maonyesho ya kitamaduni na shughuli za burudani. Mara kwa mara huwa na shughuli zenye maudhui maalum, zikiwemo za matamasha ya kimataifa ya chakula na wiki ya mambo ya kitamaduni, zikivutia watalii wa China na wa kigeni pia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha