99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Theluji yaanguka kwa mara ya kwanza mwaka huu kwenye Milima Emei, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2024
Theluji yaanguka kwa mara ya kwanza mwaka huu kwenye Milima Emei, China
Picha iliyopigwa tarehe 20, Novemba ikionesha mandhari ya theluji ya sehemu ya eneo la Jinding la Milima Emei.

Siku hizi, theluji ya kwanza ya mwaka huu imeanguka kwenye Milima Emei nchini China, ambapo milima yenye maumbo ya ajabu na misitu mikubwa inayofunikwa na theluji, pamoja na mawingu na ukungu vikionekana kama picha moja moja zilizochorwa za mandhari nzuri ya mazingira ya theluji na barafu.

Picha na Jiang Hongjing/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha