99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Mwanga wa Mtandao?wa Internet”?wang’arisha?Wuzhen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 20, 2024
“Mwanga wa Mtandao?wa Internet”?wang’arisha?Wuzhen
Picha hii iliyopigwa Novemba 19 ikionyesha Bango linaloandika “Kutazama Dunia kwa Teknolojia Mpya” katika Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet”wa Mkutano wa Mtandao wa Internet Duniani 2024. (Picha na Li He/ Xinhua)

Novemba 19, Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” wa Mkutano wa Mtandao wa Internet Duniani 2024 yalifunguliwa huko mjini Wuzhen, mkoani Zhejiang. Maonyesho haya yameweka akili Bandia(AI) kama kipaumbele cha maonyesho, yakijumuisha shughuli tano kuu: kuonyesha bidhaa, kutangaza bidhaa na teknolojia mpya, kuwavutia watu wenye ujuzi, kuunganisha ushirikiano wa viwanda, na kutangaza bidhaa za“Mwanga Mpya” .

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha