99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Katika picha: Eneo la uchumi wa anga?ya chini kwenye Maonyesho ya Ndege?ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Katika picha: Eneo la uchumi wa anga?ya chini kwenye Maonyesho ya Ndege?ya China
Picha hii iliyopigwa Novemba 13, 2024 ikionyesha ndege ya kuendeshwa bila rubani ya EH216-S ya kupaa na kutua wima (eVTOL) ya Kampuni ya EHang katika eneo la uchumi wa anga ya chini wa Maonyesho ya Ndege ya China mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Lu Hanxin)

Eneo la uchumi wa anga ya chini limetengwa kwenye Maonyesho ya 15 ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga na Vyombo vya Anga ya juu ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Ndege ya China, mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, likionyesha bidhaa husika na matumizi yake.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha