99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chuo cha Confucius nchini Djibouti chahimiza mafunzo ya Lugha ya Kichina na mawasiliano ya kiutamaduni (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2024
Chuo cha Confucius nchini Djibouti chahimiza mafunzo ya Lugha ya Kichina na mawasiliano ya kiutamaduni
Wanafunzi wakijifunza lugha ya Kichina kwenye Karakana ya Luban, sehemu kilipo kituo cha utoaji mafunzo cha Chuo cha Confucius huko Djibouti, Novemba 6, 2024.

Chuo cha Confucius nchini Djibouti kilichozinduliwa rasmi mwezi Machi, Mwaka 2023 kilianzishwa pamoja na Chuo Kiluu cha Ualimu cha Sihcuan cha China na Wizara ya Elimu ya Taifa na Mafunzo ya Kazi za Ufundi ya Djibouti.

Kwa kupitia kutoa mafunzao yanayofaa kwa vijana na watu wa kazi husika, chuo hicho kimehimiza mafunzo ya Lugha ya Kichina nchini Djibouti, kutoa fursa ya kufanya mawasiliano ya kiutamaduni na kuwawezesha wanafunzi kuwa na matarajio ya nafasi za ajira. Chuo hicho kimetoa mafunzo kwa wanafunzi 2,361 tangu kianzishwe.(Xinhua/Wang Guansen)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha