99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 yaanza mjini Shenzhen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2024
Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 yaanza mjini Shenzhen
Picha hii iliyopigwa Oktoba 31, 2024 ikionyesha modeli ya jukwaa la kuchimba baharini la Bluewhale I kwenye Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

Maonyesho ya 2024 ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) yameanza rasmi mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China siku ya Alhamisi, yakionyesha kwa pande zote maendeleo ya uchumi wa baharini ya China, na uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa sekta hiyo.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha