99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Utengenezaji na upandaji chai ya Liubao, waleta ustawi Mjini Wuzhou, Kusini mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
Utengenezaji na upandaji chai ya Liubao, waleta ustawi Mjini Wuzhou, Kusini mwa China
Picha iliyopigwa kwa droni Machi 26, 2024 ikionyesha shamba la chai katika kitongoji cha Liubao, Wilaya ya Cangwu ya Mjini Wuzhou, Mkoani Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Chai ya Liubao, ambayo chai nyeusi ya Kichina yenye sifa maarufu kutokana na harufu yake nzuri na inayodumu kwa muda mrefu na uwezo wa kimatibabu, ina historia ya miaka zaidi ya 1,500. Mji wa Wuzhou, mkoani Guangxi, kusini mwa China, maarufu kwa chai ya Liubao, una mashamba ya chai yenye ukubwa wa hekta kama 26,670, huku thamani yake ya uzalishaji ikizidi yuan bilioni 20 (sawa na dola za Kimarekani kama bilioni 2.8).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha