99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Njia ya kufikisha mizigo kwa wateja kwa kutumia droni yaanza kufanya kazi rasmi Shenzhen, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2024
Njia ya kufikisha mizigo kwa wateja kwa kutumia droni yaanza kufanya kazi rasmi Shenzhen, China
Droni ikifikisha oda ya chakula kwenye Bandari ya Futian mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 23, 2024. (Xinhua/Mao Siqian)

Njia ya kufikisha oda za bidhaa kwa kutumia droni imeanza kufanya kazi rasmi katika Mji wa Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China siku ya Jumatano, ikiwa ni njia ya kwanza ya kawaida katika eneo la bandari. Wateja watapokea bidhaa zao ndani ya dakika 10 baada ya kuweka oda. Watu wanaosafiri kati ya Hong Kong na Shenzhen wanaweza kufurahia huduma hiyo ya kufikisha bidhaa kwa droni karibu na eneo la kuvuka mpaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha