99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 136 ya Guangzhou ya Kipindi cha Pili yafunguliwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2024
Maonyesho ya 136 ya Guangzhou ya Kipindi cha Pili yafunguliwa
Mnunuzi akichagua bidhaa kwenye Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yanayofanyika Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 23, 2024. (Xinhua/Lu Hanxin)

Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China ya kipindi cha pili, yamefunguliwa mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China jana Jumatano yakilenga kuonyesha bidhaa kama vile vyombo vya umeme nyumbani, zawadi, mapambo, vifaa vya ujenzi na samani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha