99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mvuto wa Kazan, Mji wa Russia?mwenyeji wa Mkutano wa Viongozi wa BRICS?2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2024
Mvuto wa Kazan, Mji wa Russia?mwenyeji wa Mkutano wa Viongozi wa BRICS?2024
Picha hii iliyopigwa Oktoba 20 ikionyesha muonekano wa mji wa Kazan wa Russia.

Kazan ni mji mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan ambayo iko chini ya Shirikisho la Russia. Kuna maeneo mengi ya kupendeza katika mji huu, maarufu zaidi miongoni mwa maeneo hayo ni Kazan Kremlin. Kutokana na historia na utamaduni wake tajiri, Kazan imeorodheshwa katika Orodha “A” ya miji ya kihistoria na kitamaduni ya Russia sambamba na Moscow na St. Petersburg. Mji huu mwaka huu, ni mwenyeji wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS uliopangwa kuanza leo Oktoba 22.

(Xinhua/Lai Xiangdong)?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

Picha