99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2024
Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China
Picha hii ikionyesha wafanyakazi wakiwa wamebeba maua ya krisanthemum yaliyovunwa kwenye kituo cha kupanda maua cha Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 19, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

Hivi karibuni msimu wa kuvuna maua ya krisanthemum umewadia katika Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Liupanshui umehimiza kuendeleza shughuli husika za maua ya krisanthemum ili kuongeza mapato ya watu.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha