99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 ukifunguliwa Beijing, China, Oktoba 17, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 umeanza Beijing, mji mkuu wa China jana Alhamisi, ambapo wakati wa mkutano huo mfululizo wa shughuli mbalimbali zitafanywa ili kuhimiza maendeleo ya magari ya teknolojia ya kisasa yaendelee sambamba na sekta husika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha