99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mashindano ya 17 ya "Daraja la Lugha ya Kichina" yaanza mjini Tianjin, kaskazini mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mashindano ya 17 ya
Picha hii iliyopigwa Oktoba 17, 2024 ikionyesha hafla ya ufunguzi wa mashindano ya 17 ya "Daraja la Lugha ya Kichina" kwa wanafunzi wa shule za sekondari za nchi za kigeni mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Ran)

TIANJIN - Mashindano ya 17 ya "Daraja la Lugha ya Kichina" kwa wanafunzi wa shule za sekondari za nchi za kigeni yameanza jana Alhamisi mjini Tianjin, Kaskazini mwa China.

"Daraja la Lugha ya Kichina " ni mashindano ya kimataifa ya kila mwaka ambapo wanafunzi wasio Wachina wanaonyesha uwezo wao kamili wa kutumia lugha ya Kichina na uelewa wao wa utamaduni wa China.

Mwaka huu, jumla ya washindani 113 kutoka nchi 96 wanashiriki kwenye mashindano hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha