99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yaanza Shanghai (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024
Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yaanza Shanghai
Watembeleaji wakicheza mchezo wa ubao wa kielimu kwenye Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yanayofnayika Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 16, 2024. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 ambayo yatafanyika kwa siku tatu yameanza Jumatano kwenye Kituo Kipya cha Kimataifa cha Maonyesho cha Shanghai, Mashariki mwa China yakivutia kampuni zaidi 2,500 za midoli kutoka ndani na nje kushiriki kwenye maonesho hayo ya bidhaa za midoli.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha