99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wanaohudhuria?Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani watembelea Xinjiang (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024
Watu wanaohudhuria?Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani watembelea Xinjiang
Mtu aliyehudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani akijaribu ala ya muziki ya jadi katika Kijiji cha Jiayi cha Wilaya ya Xinhe, Mkoa wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Oktoba 15, 2024. (Xinhua/Liu Mengqi)

Watu waliohudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani uliofunguliwa Jumatatu mjini Urumqi, mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China wametembelea mkoa huo na kuona maendeleo, mandhari ya kuvutia na hali mbalimbali za maisha ya wenyeji ikiwemo utamaduni wa jadi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha