99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwonekano wa reli iliyojengwa na China mjini Hanoi, Vietnam (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024
Mwonekano wa reli iliyojengwa na China mjini Hanoi, Vietnam
Abiria wakisubiri kupanda treni ya reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong mjini Hanoi, Vietnam, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Yao Qilin)

Reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong imejengwa na Kundi la Sita la Kampuni za Reli za China ukiwa ni mradi muhimu wa China wa ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na mpango wa Vietnam wa "Shoroba Mbili na Mzunguko Mmoja wa Kiuchumi".?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha