99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa
Watalii wakijipiga picha ya selfie kwenye shamba la alizeti lililoko Kijiji cha Donggaohe katika Eneo la Fuxing la Mji wa Handan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Oktoba 1, 2024. (Xinhua/Yue Wenting)

Kipindi cha likizo ya Siku ya Taifa ya China, ambacho kilianzia Oktoba 1 na kinatarajiwa kufikia tamati Oktoba 7 mwaka huu, ni msimu wa pilika nyingi za watu kusafiri na kufanya utalii nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha