99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo wa “Mazungumzo na Dunia kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” wafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024
Mkutano wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo wa “Mazungumzo na Dunia kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” wafanyika
Picha ikionesha hafla ya ufunguzi wa mkutano. (People’s Daily Online/Liu Bin)

Tarehe 12, Septemba, ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo uitwao “Mazungumzo na Dunia Kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” na mihadhara umefanyika katika Wilaya ya Xinhua ya Loudi, Mkoa wa Hunan China.

Kwenye ufunguzi huo wa mkutano yametolewa kwa "Makubaliano kuhusu Maendeleo ya Pamoja ya Kilimo, Utamaduni na Utalii Kwenye Mashamba ya Ngazi Duniani", makubaliano hayo yakieneza maoni mamoja kuhusu kuelewa ipasavyo thamani ya mashamba ya ngazi, kulinda mazingira ya asili ya mashamba ya ngazi, kurithisha utamaduni wa kilimo cha mashamba ya ngazi n.k.

Kwenye jukwaa la mihadhara lililofanyika baadaye, wajumbe kutoka nyanja za mali ya urithi wa utamaduni wa kilimo, na sekta za utamaduni na utalii walijadiliana kwa kina kuhusu namna ya kufanya vizuri ushirikiano na kufundishana katika nyanja ya utamaduni wa kilimo, kuhimiza uvumbuzi wa mafungamano ya kilimo, utamaduni na utalii, na kutia uhai mpya kwenye ustawishaji wa vijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha