99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chombo cha "Jiaolong" chamaliza kazi ya mwisho ya kuzamia chini baharini katika safari ya kisayansi ya kimataifa kwenye Bahari ya Pasifiki ya Magharibi 2024 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Chombo cha
Picha iliyopigwa tarehe 11, Septemba, ikionesha chombo cha “Jiaolong” kurudi kwenye sitaha ya meli kuu “Shenhai-1” baada ya kumaliza kazi ya kuzamia chini baharini. (Xinhua/Wang Yuhao)

Saa 7:51 ya tarehe 11 kwa saa za chombo cha “Jiaolong”, chombo hicho kilikamilisha kazi yake ya chini ya bahari ya saa tano na nusu kwenye mlima wa baharini wa Viga katika Bahari ya Pasifiki ya Magharibi, ikibeba waendeshaji wa chombo Zhao Shengya, Zhang Yi, pamoja na mwanasayansi wa timu ya utafiti Gao Wei, na kupanda juu kutoka kwenye sehemu yenye kina cha mita 1,783. Saa 9:10 mchana kwa saa za chombo, "Jiaolong" ilirejea kwenye sitaha ya nyuma ya meli kuu ya "Shenhai-1," hali ambayo inamaanisha kazi yake ya kuzamia chini baharini kwa mara 18 katika safari hiyo ya kisayansi imekamilika kwa mafanikio.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha