99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uzito wa bidhaa zilizosafirishwa kupita mlango wa meli wa Magenge Matatu Mwaka huu wazidi tani milioni 100 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2024
Uzito wa bidhaa zilizosafirishwa kupita mlango wa meli wa Magenge Matatu Mwaka huu wazidi tani milioni 100
Tarehe 10, Septemba, meli zikipita mlango wa meli wa Bwawa la Magenge Matatu katika Mji wa Yichang, Mkoa wa Hubei.?(Picha kutoka IC Photo)

Habari kutoka Kundi la Magenge Matatu la China zilisema kuwa hadi Tarehe 3, Septemba, mlango wa meli wa Magenge Matatu umepitiwa zaidi ya mara 6,500 mwaka huu, huku meli 24,000 zikipita, na uzito wa bidhaa zilizosafirishwa kupita mlango huo umezidi tani milioni 100. Mlango wa meli wa Magenge Matatu unadumisha uendeshaji kwa ufanisi wa juu, na uzito wa bidhaa zilizosafirishwa umezidi tani milioni 100 kwa miaka 11 mfululizo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha