99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
Picha: Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya
Picha hii iliyopigwa Agosti 15, 2024 ikionesha Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya. (Xinhua/Wang Guansen)

Kikijengwa na Kampuni ya Mawasiliano na Ujenzi ya China, Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya kilianza rasmi uendeshaji wake mwezi Agosti, 2022. Kituo hicho kimeongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kusafirisha mafuta na gesi, na ufanisi wa kupakua mafuta wa Bandari ya Mombasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha