99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwanamuziki wa Afrika aeneza?muziki katika Mkoa?wa Hainan Kusini mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2024
Mwanamuziki wa Afrika aeneza?muziki katika Mkoa?wa Hainan Kusini mwa China
Mtu akipiga video za David Mouk wakati akifanya maonyesho kwenye baa ya muziki huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Agosti 6, 2024. (Xinhua/Zhang Liyun)

Akiwa ni mwalimu wa piano na mwanamuziki wa bendi, David anatoka Jamhuri ya Kongo na amekuwa akiishi katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China kwa miaka karibu 10. Akiwa alisomea muziki tangu utotoni, alianzisha bendi yake akiwa chuoni na baadaye akaja hapa kwa ajili ya kupata shahada ya uzamili.

Mwanamuziki huyo anaamini kabisa kuwa muziki ni sehemu isiyoweza kukosekana ya maisha na inaweza kuleta nguvu kwa watu. Kwa hivyo ameanzisha studio ya muziki kufundisha watoto kupiga piano. Nje ya studio, David hupiga kinanda kwenye bendi mbalimbali.

"Ninaichukulia Hainan kama maskani yangu ya pili na ninatamani kufanya muziki mzuri zaidi hapa," David amesema.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha