99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri ?huko Jiande,?Mkoa wa Zhejiang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri ?huko Jiande,?Mkoa wa Zhejiang, China
Wakulima wakichuma majani ya chai kwa mashine katika mlima wa chai, Agosti 11(picha kwa droni). (Xinhua/Xu Yu)

Hivi karibuni, harufu ya chai ikinukia katika karakana ya kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi cha Kijiji cha Qiucun cha Mji wa Wilaya ya Qiantan ya Mji wa Jiande, Mkoa wa Zhejiang. Wafanyakazi wakishughulikia utengenezaji wa majani mabichi ya chai, na wanaweza kutengeneza majani mabichi ya chai zaidi ya tani 5 kila siku. Kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi ni kiwanda cha uzalishaji wa chai isiyo na uchafuzi. Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kupitia kutoa mafunzo ya kiufundi, kutoa zana na vifaa vya bure vya utengenezaji wa chai kwa wakulima, kiwanda hicho kimeongeza mapato Yuani 100,000 kwa uchumi wa ushirika wa kijiji cha Qiucun kila mwaka, na kusaidia familia za wakulima wa chai wa vijiji vitano vya kando za Kijito Xuxi wa Qiantan kuongeza mapato ya wastani wa Yuani milioni 2 kila mwaka.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha