99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonesho ya Magari ya Kisasa yafunguliwa Shanghai (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
Maonesho ya Magari ya Kisasa yafunguliwa Shanghai
Watu wakifahamishwa kuhusu sehemu ya chini ya gari ya kisasa inayodhibitiwa na nyaya kwenye Maonesho ya Magari ya Kisasa yanayounganishwa na mtandao na maonesho ya China ya magari ya kujiendesha huko Shanghai, Agosti 9, 2024. (Picha/VCG)

Maonesho ya China ya Magari ya Kisasa yanayounganishwa na mtandao na maonesho ya China ya magari ya kujiendesha yalifunguliwa Shanghai siku ya Alhamisi. Shughuli hiyo inafuatilia viwanda vya magari ya kisasa yanayotumia umeme, ikilenga kujenga jukwaa la biashara ya magari yanayotumia nishati mpya ndani ya kituo kimoja.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha