99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda
Picha iliyopigwa Agosti 2024 ikionesha Eneo Maalum la Viwanda vya Kuzalisha Umeme kwa Nishati ya Upepo wa Baharini la Magenge Matatu la Fujian mjini Fuqing, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Jiang Kehong)

Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha