99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chebet wa Kenya ashinda medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 5000 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
Chebet wa Kenya ashinda medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 5000 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Beatrice Chebet (kati) wa Kenya, Faith Kipyegon (kushoto) wa Kenya and Sifan Hassan wa Uholanzi wakishangilia baada ya fainali ya mbio za mita 5000 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris huko Paris, Ufaransa, tarehe 5 Agosti, 2024. (Xinhua/Lui Siu Wai)

Mkenya Beatrice Chebet alifanya umalizaji wa kishindo ili kushinda medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 5000 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris siku ya Jumatatu.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alivuka mstari wa mwisho wa mbio hizo kwa kumaliza mbio kwa dakika 14 sekunde 28.56, zaidi ya sekunde mbili mbele ya bingwa mtetezi Sifan Hassan wa Uholanzi, ambaye amepata medali ya fedha.

Nadia Battocletti wa Italia amepata medali ya shaba kwa kumaliza mbio kwa dakika 14 sekunde 31.64.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha