99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yashika nafasi ya Kwanza katika?Mashindano ya Kuogelea kiufundi kwa Minyumbuliko ya Pamoja Katika Michezo ya Olimpiki ya Paris (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
China yashika nafasi ya Kwanza katika?Mashindano ya Kuogelea kiufundi kwa Minyumbuliko ya Pamoja Katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Timu ya Canada ikishinda nafasi ya saba kwenye mashindano, Agosti 5. (Xinhua/Xue Yuge)

Mashindano ya mchezo wa kuogelea kiufundi kwa minyumbuliko sawa ya pamoja kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris yamefanyika jana Jumatatu, Agosti 5 katika Kituo cha Michezo ya Majini cha Michezo ya Olimpiki ya Paris ambapo timu ya China ilishika nafasi ya kwanza katika raundi hiyo ikifuatiwa na Hispania na Japan katika nafasi ya pili na tatu, mtawalia.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha