99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Zheng/Huang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2024
Zheng/Huang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
Wachezaji Zheng Siwei(kushoto)/Huang Yaqiong wa Timu ya China wakiwa kwenye hafla ya kutunuku medali washindi tarehe 2, Agosti 2024. (Mpiga picha:Chen Bin/Xinhua)

Siku hiyo, wachezaji Zheng Siwei/Huang Yaqiong wa Timu ya China wameshinda Kim Won-ho/Jeong Na-eun wa Timu ya Korea Kusini kwa 2-0 na kupata medali za dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha