99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Msimu wa Mavuno ya Shayiri waanza katika Mji wa Shannan Mkoa wa Xizang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2024
Msimu wa Mavuno ya Shayiri waanza katika Mji wa Shannan Mkoa wa Xizang, China
Wanakijiji katika Kijiji cha Langsailing cha Kitongoji cha Zhaqi, Wilaya ya Zhanang katika Mji wa Shannan, Mkoa wa Xizang, China wakivuna shayiri, Julai 31. (Xinhua/ Zhang Rufeng)

Hivi karibuni, wilaya ya Zhanang ya mji wa Shannan katika Mkoa wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China imekaribisha msimu wa mavuno ya shayiri. Watu walikuwa na pilika nyingi za kuvuna shayiri na kuhisi furaha ya mavuno.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha