99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Michezo ya Kupanda Farasi?ya"Agosti?Mosi" yaanza?katika Wilaya ya Litang Mkoa wa Sichuan,?China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2024
Michezo ya Kupanda Farasi?ya
Ngoma ya kijadi ya kuimba na kucheza katika mduara ya Guozhuang ikionekana pichani kwenye uwanja wa michezo ya kupanda farasi wa Duowangtang katika wilaya ya Litang, Sichuan, China, Julai 30. (Xinhua/Jiang Hongjing)

Siku ya Jumanne, Julai 30, michezo ya kupanda farasi ya "Agosti Mosi" huko Litang mkoani Sichuan, China ilianza rasmi kwenye uwanja wa michezo ya kupanda farasi wa Duowangtang, huku takriban watu elfu moja kutoka vitongoji vyote vya wilaya hiyo wakikusanyika pamoja. Michezo mbalimbali ya kistadi ya farasi kwenye uwanja huo, kama vile uokotaji wa Hada, kufyatua risasi ukiwa juu ya farasi, kupiga mshale ukiwa juu ya farasi, kuruka kwa ustadi wakati wa kupanda farasi na kadhalika, iliwapa wenyeji na watalii burudani yenye uhondo mwingi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha