99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu waliokwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko wahamishwa katika Mkoa wa Hunan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Watu waliokwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko wahamishwa katika Mkoa wa Hunan, China
Mhudumu wa kujitolea akiwa amembeba bibi kizee kutoka kwenye helikopta katika shule ya sekondari huko Zixing, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Julai 29, 2024. (Xinhua/Chen Zhenhai)

Helikopta kadhaa zilitumwa siku ya Jumatatu kupeleka maji ya kunywa, mchele, mboga mboga, dawa na mahitaji mengine muhimu ya kila siku katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na maafa katika Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan katikati mwa China na kuhamisha watu kwa mafanikio waliokuwa wamekwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha