99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China
Majaji wakijaribu tambi chachu za unga za mchele za Lingshui kwenye shindano la kupika tambi chachu za unga wa mchele huko Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Julai 26, 2024. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

LINGSHUI - Tambi chachu za unga wa mchele za Lingshui ni tambi maarufu za kienyeji katika Mji wa Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China na ziliorodheshwa kuwa mali ya urithi wa mkoa wa utamaduni usioshikika Mwaka 2009. Hivi karibuni shindano la kupika tambi limefanyika katika mji huo wa Lingshui ili kutangaza shughuli za tambi chachu hizo za unga wa mchele.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha