99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bunge la Ulaya laidhinisha muhula wa pili wa von der Leyen kuwa mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Bunge la Ulaya laidhinisha muhula wa pili wa von der Leyen kuwa mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya
Ursula von der Leyen akitoa hotuba kwenye makao makuu ya Bunge la Ulaya huko Strasbourg, Ufaransa, Julai 18, 2024. (Xinhua/Zhao Dingzhe)

STRASBOURG - Bunge la Ulaya limeidhinisha ombi la Ursula von der Leyen wa Ujerumani siku ya Alhamisi kwa ajili ya muhula wake wa pili wa miaka mitano kuwa Rais wa Kamisheni ya Ulaya ambapo kiongozi hiyo amepata kura 401 kwenye bunge hilo lenye jumla ya wabunge 720, na kuzidi idadi ya wingi wa kura inayohitajika kudumisha nafasi yake.

Kwenye uchaguzi huo wa kura ya siri, wabunge 284 wa bunge hilo wamepiga kura ya hapana.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha