99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watalii watembelea eneo la kivutio cha utalii la michongo kwenye Mwamba wa Dazu mjini Chongqing, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2024
Watalii watembelea eneo la kivutio cha utalii la michongo kwenye Mwamba wa Dazu mjini Chongqing, China
Watalii wakitembelea eneo la kivutio cha utalii la michongo kwenye Mwamba wa Dazu katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa ya China, Julai 7, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao)

Eneo la Vinyago vya Mwamba wa Dazu katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa ya China liliingizwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Mwaka 1999. Likiwa ni mfano maridhawa wa sanaa ya China ya grotto, eneo hilo lina umuhimu mkubwa wa kihistoria, unaoonesha uhai na ustawi wa utamaduni wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha