99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa Dunia wa AI Mwaka?2024 juu ya usimamizi wa kimataifa wafunguliwa Shanghai, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2024
Mkutano wa Dunia wa AI Mwaka?2024 juu ya usimamizi wa kimataifa wafunguliwa Shanghai, China
Watu wakiwasiliana mbele ya seti ya skrini zinazoonyesha majukwaa ya modeli za AI kwenye Mkutano wa Dunia wa AI Mwaka 2024 mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Julai 4, 2024. (Xinhua/Fang Zhe)

Mkutano wa Dunia wa AI Mwaka 2024 na Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Usimamizi wa Kimataifa wa AI umefunguliwa mjini Shanghai, Mashariki mwa China siku ya Alhamisi.

Mkutano huo unajikita katika kaulimbiu isemayo "Kusimamia AI kwa Wema na kwa Wote" mwaka huu, kwa lengo la kuanzisha majukwaa ya kimataifa ya ushirikiano na mawasiliano yenye uwazi, ujumuishaji, na ushiriki sawa, kuendeleza usimamizi wa kimataifa wa AI, na kuanzisha mfumo wa usimamizi ulio wazi, wenye usawa na ufanisi.

Mkutano huo unawakutanisha pamoja maafisa wa serikali, na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa, viwanda, vyuo vikuu na taasisi za utafiti, miongoni mwa wengine. (Xinhua/Wang Xiang)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha