99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti?wa sayari ya?mwezi chafunguliwa baada ya kuwasili Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2024
Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti?wa sayari ya?mwezi chafunguliwa baada ya kuwasili Beijing
Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti wa sayari ya mwezi kikifunguliwa kwenye hafla iliyofanyika katika Taasisi ya Teknolojia ya Anga ya Juu ya China chini ya Kampuni ya Beijing ya Kundi la Sayansi na Teknolojia ya Anga ya Juu la China Juni 26, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

BEIJING - Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang’e-6 cha utafiti wa sayari ya mwezi kimefunguliwa kwenye hafla iliyofanyika Beijing siku ya Jumatano alasiri kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Anga ya Juu ya China chini ya Kampuni ya Beijing ya Kundi la Sayansi na Teknolojia ya Anga ya Juu la China ambapo watafiti wamefungua chombo hicho na kukagua viashiria muhimu vya kiufundi.

Watafiti wanaohusika na mfumo wa matumizi ya duniani baadaye watafanya kazi inayohusu uhifadhi, uchambuzi na utafiti wa sampuli kama ilivyopangwa.

Chombo hicho ambacho ni kimoja cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti wa sayari ya mwezi kilitua siku ya Jumanne, kikileta duniani sampuli za kwanza kuwahi kukusanywa kutoka upande wa mbali wa mwezi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha