99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mashindano ya Pili ya Ufundi ya Kimataifa ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaanza Chongqing, China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
Mashindano ya Pili ya Ufundi ya Kimataifa ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaanza Chongqing, China
Picha ikionesha mshiriki akiwa kwenye Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” mjini Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Juni 24, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao)

Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yameanza kwenye Kituo cha Maonesho ya Kimataifa cha Chongqing mjini Chongqing, China siku ya Jumatatu, yakivutia washiriki kutoka nchi na maeneo 61.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha