99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yafunguliwa Tianjin, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024
Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yafunguliwa Tianjin, China
Watu wakijaribu mchezo wa marathon wa mtandaoni kwenye Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Juni 20, 2024. (Xinhua/Sun Fanyue)

Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yamefunguliwa siku ya Alhamisi mjini Tianjin, Kaskazini mwa China. Yakiwa na kaulimbiu isemayo "Akili Mnemba: Nafasi kubwa ya Maendeleo, Kichocheo cha Ukuaji Endelevu," maonyesho hayo yanaandaliwa kwa pamoja na serikali za miji ya Tianjin na Chongqing ya China.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha