99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Eneo?la Kaskazini Mashariki mwa China laboresha viwanda vya jadi?na?kuendeleza viwanda vya teknolojia ya hali ya juu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2024
Eneo?la Kaskazini Mashariki mwa China laboresha viwanda vya jadi?na?kuendeleza viwanda vya teknolojia ya hali ya juu
Picha iliyopigwa Juni 18, 2-24 ikionesha sehemu za saa kwenye kampuni ya Saa ya Peacock iliyoko Mji wa Dandong, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Fan Yuqing)

Shughuli za utengenezaji wa saa ni mojawapo ya shughuli za jadi katika Mji wa Dandong, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo wa Dandong umehamasisha kwa nguvu kubwa uvumbuzi wa teknolojia na kukuza kampuni za kivumbuzi, ili kuboresha viwanda vya jadi na kuendeleza uzalishaji wa bidhaa unaotumia teknolojia ya hali ya juu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha