99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Daraja Kubwa la Mozhai Wujiang la sehemu ya nyongeza ya Barabara kuu ya Chongqing-Hunan ya China kuunganishwa (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 11, 2024
Daraja Kubwa la Mozhai Wujiang la sehemu ya nyongeza ya Barabara kuu ya Chongqing-Hunan ya China kuunganishwa
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye sehemu ya ujenzi wa Daraja Kubwa la Mozhai Wujiang la sehemu ya nyongeza ya Barabara kuu ya Chongqing-Hunan ya China tarehe 9, Juni.

Siku hizi, daraja kubwa la Mozhai Wujiang la sehemu ya nyongeza ya Barabara kuu ya Chongqing-Hunan lililopo mji wa Chongqing, China limefikia hatua ya mwisho ya ujenzi wa nguzo, likikaribia muda wake wa kuunganishwa.

Daraja hilo liliwekezwa na kampuni ya uwekezaji ya Chongqing ya Kundi la Ujenzi wa Reli la China, na kujengwa na kampuni ya bandari na usafiri wa majini ya kundi hilo. Daraja hilo lina urefu wa mita 708 na kuvuka mita 296.

Sehemu ya nyongeza ya Barabara kuu ya Chongqing-Hunan ya China ina urefu wa kilomita 280, ikitarajiwa kuzinduliwa rasmi mwaka 2025.

(Picha na Tang Yi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha