99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkoa?wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2024
Mkoa?wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini
Wafanyakazi wakisindikiza mikuyu iliyobanikwa kwenye kiwanda huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Mei 15, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

Ukiwa uko katika kando ya Bahari ya China ya Mashariki, Mkoa wa Fujian wa China una eneo la bahari lenye ukubwa wa kilomita za mraba 136,000, ukanda wa pwani wenye miamba na ghuba na visiwa vingi, na kuufanya kuwa mahali pazuri pa kuendeleza kilimo cha baharini.

Kwa miaka mingi, Mkoa wa Fujian umekuwa ukijikita katika kuongeza uzalishaji wa vyakula vyenye ubora wa hali ya juu vya baharini, na kuharakisha uboreshaji wa kilimo cha baharini huku ikilinda mazingira ya ikolojia ya baharini. Mwaka 2023, uzalishaji wa kilimo cha baharini mkoani humoyalifikia tani karibu milioni 5.8, ikishika nafasi ya pili nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha