99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli ya kwanza ya kiwango cha tani 10,000 iliyofikia eneo la mtiririko wa juu la Mto Changjiang yawasili Bandari ya Jiangjin Luohuang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2024
Meli ya kwanza ya kiwango cha tani 10,000 iliyofikia eneo la mtiririko wa juu la Mto Changjiang yawasili Bandari ya Jiangjin Luohuang, China
Picha iliyopigwa Mei 11, 2024 ikionyesha meli ya “Uvumbuzi No.5” ikiwa kwenye Bandari ya Jiangjin Luohuang ya Chongqing, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao)

CHONGQING - Meli ya kiwango cha tani 10,000 ya usafiri wa bahari ya mbali imewasili katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Jumatano, na kuwa meli ya kwanza yenye ukubwa wa namna hiyo kusafiri hadi eneo la mtiririko wa juu wa Mto Changjiang.

Meli hiyo ya “Uvumbuzi No.5” iliyobeba chakula chenye uzito wa tani zaidi ya 5,000, iliondoka kutoka Bandari ya Zhoushan ya Ningbo katika mkoa wa pwani wa mashariki wa Zhejiang Aprili 24. Imesafiri kupitia njia ya moja kwa moja ya mtoni-baharini ya Chongqing-Zhoushan, ambayo inaunganisha moja kwa moja mji huo wa Chongqing katika eneo la mtiririko wa juu wa Mto Changjiang na bahari.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha