99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China
Watu wa Kabila la Wamiao wakitoa burudani ya ngoma ya Lusheng katika Wilaya ya Jianhe, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Mei 1, 2024. (Fan Hui/Xinhua)

Watu katika sehemu mbalimbali za China wanapumzika katika likizo ya Siku ya Wafanyakazi. Likizo hiyo kwa China itachukua siku tano ambapo imeanza jana Jumatano Mei 1 na imepangwa kuendelea hadi siku ya Jumapili, Mei 5.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha