99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 charudi duniani na kutua kwa mafanikio

(CRI Online) Mei 02, 2024
Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 charudi duniani na kutua kwa mafanikio
Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 kilitua kwa mafanikio kwenye uwanja wa Dongfeng tarehe 30, Aprili. (Picha/Xinhua)

Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 kimerudi duniani na kutua kwa mafanikio tarehe 30 Aprili.

Madaktari wamethibitisha kuwa wanaanga watatu waliokuwa kwenye chombo hicho wako katika hali nzuri ya kiafya, na kuonesha kuwa jukumu la chombo cha Shenzhou-17 limepata mafanikio mazuri.

Chombo cha Shenzhou-17 kilichorushwa katika anga za juu tarehe 26 Oktoba mwaka 2023 kutoka Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan, kiliungana na moduli ya Tianhe katika Kituo cha Anga ya Juu cha China. Walipokuwa katika anga ya juu, wanaanga watatu walisafiri kwa siku 187, na kutembea nje ya chombo hicho mara mbili na kufanya kazi mbalimbali za uundaji, marekebisho na utengenezaji wa vifaa vya kituo hicho, na majaribio mengi ya kisayansi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha