99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafikia tamati mkoani Hainan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 19, 2024
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafikia tamati mkoani Hainan, China
Watu wakitembelea Maonyesho ya Nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Aprili 18, 2024. (Xinhua/Yang Guanyu)

HAIKOU - Maonyesho ya Nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamefikia tamati mkoani Hainan, Kusini mwa China siku ya Alhamisi ambapo matembezi ya watu kwenye maonesho hayo yaliyofanyika kwa siku sita yamefikia mara zaidi ya 370,000, maonesho ambayo yamehusisha chapa zaidi ya 4,000 kutoka nchi na maeneo 71 duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha