99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu washerehekea sikukuu ya kumwagiana maji Mkoani Yunnan, Kusini Magharibi mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2024
Watu washerehekea sikukuu ya kumwagiana maji Mkoani Yunnan, Kusini Magharibi mwa China
Watalii na watu wenyeji wakisherehekea sikukuu ya kumwagiana maji katika Mji wa Mangshi, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Wenyao)

Sikukuu ya kumwagiana maji inachukuliwa kuwa moja ya sherehe muhimu zaidi kwa watu wa Kabila la Wadai na Wade'ang katika Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong mkoani Yunnan, China. Watu wanamwagiana maji wakati wa sikukuu hiyo, wakitakiana furaha, baraka na mafanikio mema.

Sikukuu hiyo ya mwaka huu imefanyika Ijumaa na Jumamosi mwishoni mwa wiki iliyopita.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha