99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

"Ligi Kuu ya Kijiji" ya China yakaribisha timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2024
Alzabidi Arafat Mohammed Seleh wa Yemen, mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Guizhou, akicheza kwenye mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu katika Wilaya ya Rongjiang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Aprili 13, 2024.(Xinhua/Tao Liang)

RONGJIANG - Mechi ya soka ya kuvutia macho imefanyika kwenye "Ligi Kuu ya Kijiji" ya China katika Wilaya ya Rongjiang siku ya Jumamosi jioni ambapo Timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Guizhou imecheza dhidi ya timu ya Tambi za Wali ya Jiangxi kutoka Mji wa Shangrao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha