99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Sikukuu ya Sanyuesan yasherehekewa huko Guangxi, China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 12, 2024
Sikukuu ya Sanyuesan yasherehekewa huko Guangxi, China
Walimu na wanafunzi wa shule ya msingi wakishiriki kwenye sherehe ya sikukuu ya “Sanyuesan” huko Nanning, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, China, Aprili 10, 2024. (Xinhua/ Zhou Hua)

Watu wa kabila la Wazhuang husherehekea sikukuu ya Sanyuesan katika siku ya tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China kwa kuvaa mavazi ya kijadi na kufanya burudani za kijadi. Mwaka huu sikukuu hiyo ya Sanyuesan imesherehekewa Aprili 11.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha