99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakati Michezo ya Olimpiki ya Paris ikikaribia, Oda za Bidhaa za Michezo zaongezeka kwa kasi Yiwu, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Paris ikikaribia, Oda za Bidhaa za Michezo zaongezeka kwa kasi Yiwu, China
Wafanyabiashara kutoka nje ya nchi wakifahamishwa kuhusu bidhaa za michezo kwenye eneo la biashara ya kimataifa la Yiwu, Mkoa wa Zhejiang wa China. (Picha na Dong Yixin)

Ikiwa ni miezi chini ya minne tu imebaki kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris, maduka mengi katika eneo la biashara ya kimataifa la Yiwu, ambao ni mji mashuhuri wa China kwa biashara yake ya rejareja na jumla ya kimataifa, umeshuhudia oda nyingi za bidhaa zinazohusiana na michezo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha