99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli ya Xuelong ya China ya kuvunja barafu baharini yawasili Qingdao baada ya utafiti katika Bahari ya Antaktika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Meli ya Xuelong ya China ya kuvunja barafu baharini yawasili Qingdao baada ya utafiti katika Bahari ya Antaktika
Wanafunzi na wataalamu wa timu ya utafiti wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya meli ya Xuelong kwenye bandari ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Aprili 10, 2024. (Xinhua/Li Ziheng)

QINGDAO - Meli ya Xuelong ya China ya kupasua barafu baharini imewasili kwenye bandari huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China siku ya Jumatano baada ya kukamilisha safari yake ya utafiti wake mpya katika Bahari ya Antaktika na itakuwa na shughuli za kuwakaribisha umma kuitembelea kwa siku tatu.

Timu ya China ya utafiti wa 40 kwenye Bahati ya Antaktika katika meli hiyo iliondoka Shanghai tarehe 1 Novemba 2023 na kukamilisha kwa mafanikio kazi mbalimbali za utafiti zilizofanywa kwa siku 161 na kusafiri umbali wa jumla ya maili 81,000 baharini.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha